Mwandishi Wetu

Siasa

Wakazi wa Mbarali ruksa bonde la Usangu

MBEYA: MAKAMU  Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa…

Soma Zaidi »
Uchumi

Kihenzile ataka kasi zaidi TRC

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile na Wakuu wa Wizara hiyo leo Septemba 18,2023 wametembelea Shirika la Reli Tanzania (TRC).…

Soma Zaidi »
Tanzania

TET kushiriki kongamano la 3

DAR ES SALAAM: Kongamano la tatu la Kitaifa la Huduma za Maktaba,Tamasha la Vitabu na Usomaji limepangwa kuanza kesho Septemba…

Soma Zaidi »
Madini

Shigela awafariji wachimbaji wadogo

GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella ametembelea mgodi wa Kanegere uliopo wilayani Mbogwe na kuwafariji  wachimbaji wadogo baada…

Soma Zaidi »
Infographics

Madereva watakaofaulisha abiria kukiona

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema madereva wanaofaulisha abiria kutoka chombo kimoja kwenda kingine watakapobainika watanyanganywa…

Soma Zaidi »
Jamii

Watendaji Kigoma wawekwa kikaangoni

KIGOMA: MKUU wa wilaya Kigoma Salum Kali amekemea utendaji kazi wa wakuu wa idara na wataalam wa halmashauri ya manispaa…

Soma Zaidi »
Jamii

Mgandilwa: Marufuku kutumia nyumba za ibada kama gesti

MKUU wa wilaya ya Kilindi Hashim Mgandilwa amewataka viongozi wa dini wilayani humo kuwa makini na wageni wanatumia nyumba za…

Soma Zaidi »
Uchumi

Majaliwa ataka mifumo kugundua risiti feki

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wataalamu wa mifumo na TEHAMA, wabuni programu tumizi ya kuweza kutambua risiti halali na zisizo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakandarasi wazawa wafundwa

WAKANDARASI wazawa wametakiwa kuzisimamia kampuni zao kwa ufasaha kwa kufuata sheria za manunuzi ya umma. Pia, wametakiwa kulipa kodi kwa…

Soma Zaidi »
Afya

Tishio la Polio kampeni nyumba kwa nyumba

JUMLA ya watoto milioni 3.2 walio chini ya umri wa miaka nane wanatarajiwa kupata chanjo ya Polio itakayotolewa Septemba 21…

Soma Zaidi »
Back to top button