Aweso azindua kongamano la maji

WAZIRI wa Maji, Juma Aweso amezindua kongamano la pili la kisayansi la kimataifa la maji chini ya uratibu wa chuo cha maji katika ukumbi wa Ubungo plaza uliopo jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2023.

Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia Machi 8-10 mwaka huu, lengo likiwa kuzikutanisha taasisi mbalimbali za serikali na binafsi ili kuboresha na kuendeleza sekta ya maji.

Akizungumza katika warsha hiyo, Waziri Aweso amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Cyprian Luhemeja kufanya kazi kwa uaminifu kwakuwa ameanimiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Habari Zifananazo

Back to top button