Azam wakutana na kipondo tena

AZAM FC imepoteza mchezo wa pili msimu huu baada ya kupigwa leo na Namungo FC mabao 3-1 huku ukiwa ushindi wa kwanza kwa Namungo.

Mchezo wa kwanza kupoteza Azam FC ulikuwa dhidi ya Yanga uliosha kwa kufungwa mabao 3-2 wiki iliyopita.

Katika mchezo huo, mabao ya Namungo yalifungwa na Pius Buswita dakika ya 10, Hasheem Manyanya dakika ya 19 na Reliants Lusajo dakika ya 50.

Bao la kufutia machozi kwa Yanga lilifungwa na Ayoub Lyanga dakika ya 70.

Azam sasa inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 13. imepoteza mechi mbili, imetoa sare moja na kushinda nne.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
1
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x