AZAM FC imekubali chuma 3-0 kutoka kwa Esperance ya Tunisia, katika mchezo wa kirafiki uliopigwa nchini humo leo.
Wiki iliyopita Azam waliwafunga Al-Hilal idadi hiyo ya mabao na leo watunisia wakaona bora wawatetea wasudani.
Mchezo huo ni wapili wa kujipima nguvu kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.