Azam yanasa mtambo wa mabao

AZAM FC inaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao utakaoanza mwezi Agosti, badaa ya leo kumnasa mshambuliaji Alassane Diao kutoka US Goree kutoka  Senegal.

Taarifa hiyo imetolewa leo na klabu hiyo kupitia kurasa zao mitandao ya kijamii.

Advertisement

“Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji hatari  Alassane Diao.

” Imeeleza taarifa hiyo.

Mpaka sasa Azam FC imenasa wachezaji watatu akiwemo Feisal Salum na Gibril Sillah aliyesajiliwa kutoka Raja Athletics.

2 comments

Comments are closed.

/* */