Bajeti Uganda sh yafikisha trilioni 34

WAZIRI wa Fedha wa Uganda Matia Kasaija amewasilisha hotuba ya mapato na matumizi ya Serikali ya Rais Yoweri Musevini imeonge ongezeko la asilimia 10 la matumizi na kufikia Sh za Uganda trilioni 53 (Tsh trilioni 34.

3) kwa mwaka wa fedha 2023/24.

Uwasilishwaji wa hotuba ya bajeti kwa Uganda umekuwa tofauti kidogo baada ya Rais Museven kushindwa kuhudhuria moja kwa moja kwa sababu za UVIKO-19.

Habari Zifananazo

Back to top button