Bale astaafu soka

Nahodha wa timu ya taifa ya Wales, Gareth Bale ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 33.

Bale amepitia klabu za Southampton, Tottenham, Real Madrid na Los Angeles FC ambapo mafanikio yake makubwa ni kushinda Klabu Bingwa Ulaya mara 5, Kombe la Dunia la vilabu mara 4, La Liga mara 3, UEFA Supercup mara 3, akifunga jumla ya mabao 186 na assist 139.

Mataji aliyochukuwa Bale “5 x Champions League 3 x La Liga 1 x Copa del Rey 3 x UEFA Supercup 4 x Club World Cup 3 x Supercopa de España 1 x EFL Cup 3 x MLS trophies.

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *