Balozi Mbarouk aomboleza ubalozi wa Finland

DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, amesaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Finland kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo, Martti Ahtisaari kilichotokea Oktoba 16,  2023. Ahtisaari amefariki akiwa na umri wa miaka 86, alikuwa Rais wa Finland kuanzia mwaka 1994 … Continue reading Balozi Mbarouk aomboleza ubalozi wa Finland