Balozi Nchimbi awahutubia wananchi Kwela

KWELA: Wananchi wa Kwela wamejitokeza kumsikiliza mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, akiwasilisha Ilani ya CCM 2025–2030.

Katika hotuba yake, Balozi Nchimbi amewaeleza wananchi dhamira ya kweli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwaletea maendeleo kwa kusogeza huduma za jamii karibu zaidi na makazi yao kwa kujenga vituo vya afya, shule, scheme za umwagiliaji, ruzuku za mbolea kwa wakulima kutolewa na barabara za viwango kujengwa.

Amewakumbusha wananchi kuwa CCM ndiyo chama pekee chenye rekodi ya utekelezaji na mipango inayotekelezeka, na kuwa kura za ndiyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan Oktoba 29, 2025, ndizo zitakazohakikisha safari ya maendeleo inaendelea kwa kasi zaidi.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button