Bandari Tanga, Mtwara hazihusiki

Kuhusu tetesi kwamba DP World watawekeza katika bandari zote nchini, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesisitiza kwamba uwekezaji huo hautahusisha bandari zote nchini.

Amesema kwamba katika Awamu ya Pili ya Mkataba huo, chombo kitakachokuwa na mamlaka ya kuchagua bandari zinazoweza kuhusika katika uwezekezaji huo katika bandari za Bahari na Maziwa, ni TPA (Mamlaka ya Bandari Tanzania).

Aidha amesema uwekezaji huo hautahusisha Bandari ya Tanga na Mtwara kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakizusha.

Habari Zifananazo

Back to top button