Bashe acharuka mabadiliko vyama vya ushirika
WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amevitaja vyama vya ushirika nchini kubadilika ili wakulima wazidi kunufaika na ushirika huo. Bashe ametoa kauli hiyo leo Oktoba 2, mara baada ya kuzindua kiwanda cha kubangua korosho kinachosimamiwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha Tandahimba na Newala (TANECU LIMITED) kilichogharimu Sh bilioni 3.4. Kiwanda hicho kimejengwa katika kijiji cha … Continue reading Bashe acharuka mabadiliko vyama vya ushirika
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed