Beki aipa pigo Chelsea

BEKI wa Chelsea, Reece James atakosa mechi zote za Ligi Kuu England, baada ya kuumia misuli ya paja.

Kocha wa timu hiyo, Frank Lampard amethibitisha hilo na kuongeza kuwa “Pengine hawaatapatikana kwa msimu uliosalia.”

Lampard amesema kiungo, Mason Mount naye ameumia lakini huenda akarudi msimu ukiwa umebaki mchezo mmoja.

Advertisement

“Mason Mount uwezekano wa kuwa sawa mchezo wa mwisho wa msimu.

”Lampard.