Bissaka nje wiki kadhaa

BEKI wa Manchester United, Aaron Wan-Bissaka atakuwa nje ya uwanja baada ya kupata majeraha katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Brighton & Hove Albion ulioisha kwa United kupoteza mabao 3-1 uwanja wa Old Trafford.

Beki huyo wa kulia aliingia dakika ya 85 kuchukuwa nafasi ya Sergio Reguilón.

Kwa mujibu wa taarifa ya Manchester United, tathmini zaidi itahitajika ili kubaini ni muda gani Wan-Bissaka atakuwa nje, lakini dalili za awali zinaonyesha kuwa itakuwa wiki kadhaa.

Tembelea //epaper.tsn.go.tz kusoma zaidi

Una maoni usisite kutuandikia

Habari Zifananazo

Back to top button