BREAKING: Argentina yatwaa Kombe la Dunia

#BREAKING: Argentina ya Lionel Messi imeshinda ubingwa wa Kombe la Dunia , baada ya kuukosa ubingwa huo katika fainali ya mashindano hayo mwaka 2014 nchini Brazil.

Messi anayedhaniwa kuwa bora wa muda wote kwa Argentina ameipa ubingwa timu hiyo baada ya ushindi wa mabao 4-2 kwa penalty dhidi ya Ufaransa baada ya dakika 30 za nyongeza,kufuatia 90 kuisha sare ya 2-2.

Hii inakuwa mara ya tatu kwa Argentina kushinda taji hilo ilitwaa mwaka 1978 na 1986. Messi ameweka rekodi ya kuwa mfungaji bora akiwa na mabao saba, lakini anafikisha mabao 12 akiwa na Argentina kwenye mashindano haya.

Bao la Messi limemfanya kufikisha jumla ya mabao 793 katika maish yake ya soka na pasi za mabao 340. Messi sasa anastaafu rasmi timu ya Taifa, Messi utakumbukwa mpira utakukosa, mashabiki watakulilia. hakuna Messi asichokifanya kwenye mpira wa miguu, kwaheri Messi.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x