#BREAKING: Ureno yamtimua Fernando Santos

#BREAKING: Baada ya kuondolewa na Morocco katika mchezo wa robo fainali, Kocha wa Ureno, Fernando Santos ameachana na timu hiyo rasmi.

Ureno imesema itatangaza kocha mpya wiki ijayo.

Santos alianza kuifundisha Ureno mwaka 2014 akitokea timu ya Taifa ya Ugiriki, akiwa na Ureno, Santos ameshinda Ubingwa wa Euro nation league mwaka 2018/2019 na Uefa European Champioship mwaka 2016.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button