Bunge la ridhia mkataba wa bandari

BUNGE limeridhia Azimio la serikali kuhusu Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai juu ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii wa Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari Tanzania.

Azimio hilo liliwasilishwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akisisitza kuwa pamoja na Serikali kuchukua hatua mbalimbali za maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, bado ufanisi katika utoaji huduma za bandari haujafikia viwango vinavyotakiwa kimataifa.

“Hali ya sasa ya utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuwa ya kiwango cha chini ikilinganishwa na bandari shindani kikanda

Habari Zifananazo

Back to top button