Bunge la Tanzania limepitisha rasmi Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2023/2024 kwa kura 354 ambayo ni sawa 95%. Jumla ya wabunge waliokuwepo leo Juni 26, 2023 wakati wa upigaji kura ni 374, ambao hawakuwepo ni 18, kura ya hapana ni 0 na kura ambazo hazikuwa na uamuzi ni kura 20.


Add a comment