Cadena kocha wa makipa Simba
UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano kumuajiri Daniel Cadena kuwa kocha wa makipa kwa mkataba wa miaka miwili.
Cadena (45) amejiunga na Simba akitokea Azam FC alipodumu kwa mwaka msimu mmoja wa 2022/23..
Mhispania ana leseni ya UEFA.