Afya

Maonesho ya dawa kufanyika Dar

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa maonesho ya sekta ya dawa na huduma za afya kwa wadau na wataalam wa afya…

Soma Zaidi »

MSD yafunga mashine hospitali ya Msoga

Bohari ya Dawa (MSD) imefunga mashine za picha za mionzi (X-Ray mashine) ambazo zimeanza huduma katika Hospitali ya Msoga iliyopo…

Soma Zaidi »

Bilioni 20/- zarejeshwa vituo vya kutolea huduma za afya iCHF

MFUKO wa Bima ya Afya ya Jamii ulioboreshwa ( iCHF), umefanikiwa kukusanya kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni 30 kutokana…

Soma Zaidi »

Madaktari bingwa waja kivingine Mwanza

TIMU ya madaktari bingwa imepiga kambi ya siku tano, kuanzia leo hadi Desemba 9, 2022 katika Hospitali ya Rufaa ya…

Soma Zaidi »

Vijana watakiwa kubadili tabia maambukizi VVU

VIJANA nchini wametakiwa kubadili tabia katika pambano dhihi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi, ili kupunguza maambukizi baina yao.…

Soma Zaidi »

Wanaume watakiwa kujitokeza kupinga utatili.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ,Dk Dorothy Gwajima  amewahimiza  wanaume kujitokeza na kushiriki  kupinga ukatili…

Soma Zaidi »

Hali ya Pele yaanza Kuimarika, adai yuko Imara

NGULI wa soka wa Brazil, Edson Arantes do Nascimento ‘PELE’ amesema kwa sasa “najisikia imara” ni baada ya siku kadhaa…

Soma Zaidi »

Tambua viashiria vya Ukimwi kupitia mdomo

WAKATI leo dunia inaadhimisha siku ya Ukimwi, imeelezwa kuwa  asilimia  50 ya watu wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi utaweza…

Soma Zaidi »

Asilimia 70 wanaoambukizwa VVU watajwa wasichana

TAKRIBANI asilimia 70 ya kundi la vijana kati ya miaka 15-24 wanaopata maambuziki ya mapya ya VVU ni wasichana. Taarifa…

Soma Zaidi »

Pele awahishwa hospitali uvimbe wamtesa

Gwiji wa soka wa Brazil, Edson Arantes ‘Pelé’ ambaye anayedhaniwa kuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi wakati wote, amelazwa katika…

Soma Zaidi »
Back to top button