Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Bosi Samaki Samaki ajivunia ubunifu

Bosi Samaki Samaki ajivunia ubunifu

DAR ES SALAAM; MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Kalito’s Way Group, Carlos Kalito, amesema wameaajiri Watanzania 500 na kwamba mafanikio…
BoT yaja na muongozo mikopo kausha damu

BoT yaja na muongozo mikopo kausha damu

DAR ES SALAAM :BENKU Kuu ya Tanzania (BoT), imesema ipo mbioni kutoa miongozo na kanuni mpya kwa ajili ya kuratibu…
Viwanja vya ndege kuchunguzwa kudhibiti uhalifu

Viwanja vya ndege kuchunguzwa kudhibiti uhalifu

ZANZIBAR; SERIKALI imeanza uchunguzi maalumu kubaini upungufu katika viwanja vyote vya ndege nchini na kuzifanyia kazi ikiwemo mifumo, utendaji na…
TAP TAP UTOBOE: Kuwajaza wateja fedha, bajaji na gari

TAP TAP UTOBOE: Kuwajaza wateja fedha, bajaji na gari

Dar es Salaam: BENKI ya Exim Tanzania imezindua kampeni maalum inayolenga kuwashawishi wateja wake wanaomiliki simu za mkononi kufanya miamala…
Matinyi afafanua mkopo wa Korea kwa Tanzania

Matinyi afafanua mkopo wa Korea kwa Tanzania

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametolea ufafanuzi mkopo uliotolewa…
Benki yazindua akaunti ya mfugaji

Benki yazindua akaunti ya mfugaji

DAR ES SALAAM: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua ‘Akaunti ya Mfugaji’ mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta…
Makampuni 130 Afrika yapata tuzo uzalishaji bidhaa bora

Makampuni 130 Afrika yapata tuzo uzalishaji bidhaa bora

DAR ES SALAAM; Makampuni 130 kati ya 700 yamepata tuzo ya kuzitambua kutokana na ufanisi na kuzalisha bidhaa bora barani…
TRA Geita yatoa onyo biashara za magendo

TRA Geita yatoa onyo biashara za magendo

GEITA; MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Geita imewataka wafanyabiashara kuachana na biashara za magendo badala yake kama wana dukuduku…
Maagizo yatolewa kwa wadau huduma za wanyama

Maagizo yatolewa kwa wadau huduma za wanyama

DAR ES SALAAM: WAZALISHAJI na Wasambazaji wa rasilimali na vyakula vya wanyama wametakiwa kuhakikisha vyakula na viwanda vyao vimekaguliwa ili…
Tanzania, Marekani kukuza kiwango cha biashara

Tanzania, Marekani kukuza kiwango cha biashara

DAR ES SALAAM: TANZANIA na Marekani zimedhamiria kuongeza kiwango cha  biashara baina ya nchi hizo kutoka kiwango cha  Dola milioni…
Back to top button