Fedha

Serikali yakusanya mabilioni TAEC

DAR ES SALAAM: MAKUSANYO ya maduhuli ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) yameongezeka kutoka Sh bilioni 8.7 mwaka…

Soma Zaidi »

NBC yatwaa tuzo mwezeshaji bora mikopo Serikali Kuu

ZANZIBAR: BENKI ya NBC imepata tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Pamoja wa Mikopo ya Serikali Kuu nchini katika Afrika kwa mwaka…

Soma Zaidi »

Mkazi wa Singida ashinda Sh milioni 140

DAR ES SALAAM; Shabiki wa klabu ya Simba na Arsenal, Yahaya Bakari ameshinda Sh 140,503,890 baada ya kubashiri kwa usahihi…

Soma Zaidi »

ICRA yatoa neno kwa MFIs

DAR ES SALAAM; WAKALA wa Ukadiriaji (ICRA), imesema ukadiriaji wa mikopo ni muhimu kwa taasisi ndogo za fedha (MFIs) zinazolenga…

Soma Zaidi »

TRA yanufaika uhusiano na wafanyabiashara

DAR ES SALAAM: MAKUSANYO ya kodi nchini yamefikia Sh trilioni 24.14 kwa mwaka 2022/23 kutoka Sh trilioni 18.15 mwaka 2020/21…

Soma Zaidi »

Majaliwa aongoza mkutano mapendekezo ya bajeti

DODOMA: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza Mkutano wa Wabunge wote wa kupokea Mapendekezo ya Serikali ya Mpango na Kiwango cha…

Soma Zaidi »

TRA yajidhatiti kuondoa makadirio kodi kandamizi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imejidhatiti kuondoa makadirio ya kodi yanayodaiwa kuwa kandamizi kwa wafanyabiashara ili kufikia adhma ya kuhamasisha…

Soma Zaidi »

Rais Samia kubariki Jukwaa la kodi na uwekezaji

ARUSHA; RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufungua jukwaa la kodi na uwekezaji mwaka huu, lililoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa…

Soma Zaidi »

Mitambo 2 kuzalisha umeme kuwashwa JNHPP Machi

TANGA; Makamu wa Rais  Dk. Philip Mpango, amesema  mwezi Machi mwaka huu itawashwa mitambo miwili ya kuzalisha umeme katika Bwawa…

Soma Zaidi »

Mfumo TAUSI kuongeza uaminifu ukusanyaji kodi

MAMLAKA za Serikali za Mitaa zimeagizwa kutumia zaidi mfumo wa Ukusanyaji Mapato ( TAUSI ) ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi…

Soma Zaidi »
Back to top button