Fedha

Sh Bilioni 1.6 yawekezwa mikopo ya nyumba

DAR ES SALAAM: BENKI ya Absa imeingiza hisa za Sh bilioni 1.6 kwa Taasisi ya mikopo ya nyumba ya Mortgage…

Soma Zaidi »

Usumbufu mikopo kausha damu kupatiwa ufumbuzi

WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameondoa usumbufu ambao wananchi wamekuwa wakiupata kutokana na mikopo ya…

Soma Zaidi »

TIC: Changamkieni fursa za uwekezaji

ARUSHA;  Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) kimewataka wawekezaji wazawa pamoja na wageni kuchangamkia fursa za uwekezaji zitakazowezesha vijana kupata ajira. Hayo…

Soma Zaidi »

BOT kuwakwamua waathirika mikopo umiza, kausha damu

DAR ES SALAAM: BENKI Kuu  ya Tanzania (BOT) imezindua rasmi mtaala wa wakufunzi wa elimu ya fedha nje ya mfumo…

Soma Zaidi »

“Utaratibu wa kuchimbia fedha ni wa kizamani”

DODOMA: WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuacha tabia ya kuhifadhi fedha majumbani badala yake watumie mabenki kuhifadhi…

Soma Zaidi »

Randin: Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa SDC azuru Tanzania

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi na Mkuu wa Kitengo cha Kusini mwa Jangwa la Sahara wa Shirika la Maendeleo na Ushirikiano la…

Soma Zaidi »

Silaa: Halmashauri rejesheni mikopo ya KKK kwa wakati

MUSOMA: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Jerry Silaa amezitaka halmashauri zote zilizokopeshwa fedha za Kupanga, Kupima…

Soma Zaidi »

Waanzisha mfuko maalum kujikwamua kiuchumi

KIKUNDI cha wadau eneo la Madale jijini Dar es Salaam, kimezindua mfuko maalum ‘Saccos’ wenye lengo la kuondoa utaratibu wa…

Soma Zaidi »

Geita yavunja rekodi ulipaji kodi

GEITA: MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) mkoani Geita imefanikiwa kukusanya kiasi cha Sh bilioni 55.07 kwa mwaka wa fedha 2022/23…

Soma Zaidi »

TRA yasisitiza matumizi sahihi risiti za EFD

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), imewasisitiza wafanyabiashara kutambua kuwa matumizi sahihi ya Mashine za Risiti za Kielektroniki (EFD) ndio njia…

Soma Zaidi »
Back to top button