Fedha

Serikali yazungumzia ushiriki wa Tanzania mkutano Dubai

DUBAI; SERIKALI ya Tanzania inashiriki Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya…

Soma Zaidi »

Kidata: Kampuni acheni biashara za magendo

DAR ES SALAAM: KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania TRA, Alphayo Kidata ameyataka makampuni na wafanyabiashara wakubwa kuepuka kufanya…

Soma Zaidi »

TRA yakusanya Sh bilioni 6 robo ya kwanza Kahama

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa kikodi Kahama umefanikiwa kukusanya kukusanya Sh bilioni 6.59 sawa na ufanisi wa asilimia 125 kwa…

Soma Zaidi »

Wahasibu watakiwa kuzingatia maadili

DAR ES SALAAM; Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka…

Soma Zaidi »

Waziri Ulega atoa maelekezo uvuvi haramu

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Uvuvi, Profesa Mohamed Sheikh kushirikiana na vyombo vya ulinzi na…

Soma Zaidi »

Watakiwa kusajili bidhaa zao

ARUSHA; WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), amewataka wavumbuzi wa vifaa,dawa na bidhaa nyingine kuhakikisha wanasajili bidhaa zao…

Soma Zaidi »

Latra yatangaza viwango vipya vya nauli

ARUSHA: MKURUGENZI wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo ametangaza nauli mpya za mabasi ya mijini…

Soma Zaidi »

MSD Mlipa Kodi Bora mwaka 2023

DAR ES SALAAM: Bohari ya Dawa (MSD), imetwaa tuzo ya Mlipakodi Bora kwa mwaka 2023 ya Mamlaka ya Kodi Tanzania.…

Soma Zaidi »

Tanesco kateni umeme kwa wote wanaodaiwa

ARUSHA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa…

Soma Zaidi »

‘Tuzo za watendaji, wakuu wa kampuni 100 bora kuchochea ufanisi’

DAR ES SALAAM: TUZO za wakuu na watendaji wa makampuni 100 bora hapa nchini zimetajwa kuwa ni njia sahihi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button