Fedha

Tanzania kinara kutoa fedha za utafiti

DAR ES SALAAM: TANZANIA ni nchi ya kwanza katika kutoa fedha za utafiti ikifuatia nchi ya Afrika Kusini katika nchi…

Soma Zaidi »

MAJALIWA: Wizara ya Fedha Walindeni watumiaji wa huduma za fedha

ARUSHA:Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Fedha iimarishe mifumo ya kuwalinda watumiaji wa huduma za fedha ili baadhi ya…

Soma Zaidi »

Vyuo vya kodi vyapewa rungu udhibiti wa mapato ya serikali

DAR ES SALAAM: ILI kuisadia Serikali katika mapambano ya udhibiti wa mapato ni wajibu kwa vyuo vya kodi na fedha…

Soma Zaidi »

Wakulima mil 3.7 wasajiliwa mfumo wa mbolea ya ruzuku

DAR ES SALAAM: ZAIDI ya wakulima milioni 3.66 wamesajiliwa kwenye mfumo wa kidijiti wa mbolea ya ruzuku nchini hadi sasa…

Soma Zaidi »

Ziara ya Samia India yaanza kulipa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi Mambo ya Nje na Masuala ya Bunge wa India, Shri Muraleedharan amewataka wawekezaji kutoka…

Soma Zaidi »

TCRA yatoa tahadhari kwa watumiaji huduma za kifedha

ARUSHA; Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa rai Kwa watumiaji wa huduma za kifedha katika mitandao ya simu kujiridhisha kwenye…

Soma Zaidi »

Benki 35 kushiriki wiki huduma ya kifedha

BENKI 35 nchini zinatarajia kushiriki Maadhimisho ya 3 ya Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa yanayoanza leo Arusha. Lengo la…

Soma Zaidi »

Kituo cha biashara EAC kuanza kazi Juni

DAR ES SALAAM; ZAIDI ya wafanyabiashara 2000 wanatarajia kunufaika na Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki kilichopo Ubungo jijini Dar…

Soma Zaidi »

Wananchi Ngara kulipwa fidia Sh bilioni 26

KAGERA; KAYA 1339 katika Wilaya ya Ngara wanatarajia kulipwa kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 26 ikiwa ni sehemu ya…

Soma Zaidi »

Tamasha na FinTech kuibua fursa za uwekezaji

DAR ES SALAAM: TAMASHA la Teknolojia ya Fedha FinTech linatarajiwa kuibua fursa mbalimbali na kuimarisha mifumo mbalimbali ya kiteknolojia nchini…

Soma Zaidi »
Back to top button