Fedha

Wapigaji fedha za miradi kukiona

ARUSHA; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amekemea tabia ya wahandisi kuletewa fedha za miradi kutoka serikalini  na badala…

Soma Zaidi »

Mvua zakimbiza samaki

SAMAKI aina ya dagaa mchele na saladini wameadimika katika soko la Kimataifa la Samaki Feri mkoani Dar es Salaam na…

Soma Zaidi »

Watumishi TRA Shinyanga wafundwa maadili bora

WATUMISHI wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuwa na maadili, kuficha siri, kuwa na matumizi bora…

Soma Zaidi »

‘Kuna pengo kubwa viongozi na wananchi’

MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema, lipo pengo kubwa kati ya viongozi…

Soma Zaidi »

Sh milioni 400 zapeleka Neema Nyang’hwale

GEITA: SERIKALI imetumia kiasi cha Sh milioni 486 kununua vifaa vya kisasa mahususi kwa ajili ya kutolea huduma za afya…

Soma Zaidi »

‘Fursa bandari Dar itachochea kukuza uchumi’

DAR ES SALAAM; Serikali imesema uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam utaiwezesha Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), kuongeza mapato…

Soma Zaidi »

Wakurugenzi, Ma-RC kueleza utekelezaji majukumu yao

DAR ES SALAAM; Idara ya Habari (Maelezo), imeandaa programu maalum ya kuwakutanisha Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri zote kwenye…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuzingatia weledi, usiri ukusanyaji taarifa

KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dk Hashil Abdallah, amewatahadharisha wadadisi na wasimamizi wa utafiti wa shughuli za kiuchumi…

Soma Zaidi »

ANTU: ‘Uwekezaji Bandari Dar utawainua wamachinga’

DAR ES SALAAM: UWEKEZAJI katika Bandari ya Dar es Salaam umeelezwa kuwa ni chachu ya mafanikio kwa wafanyabiashara ndogo ndogo…

Soma Zaidi »

Watakiwa wasitembee na vitita vya fedha mfukoni

TANGA; Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba, amewataka wananchi mkoani humo kuacha tabia ya kutembea na kiasi kikubwa cha…

Soma Zaidi »
Back to top button