Fedha

Hafla Utiaji saini uendeshaji bandari

DODOMA;Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Godius Kahyarara wakitia saini Mkataba…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara waitwa maonesho Tunduma

SONGWE. Tunduma. MKUU wa Wilaya ya Momba, Kenani Kihongos amewakaribisha wawekezaji kutoka mikoa mbalimbali ndani ya nchi  na wengine kutoka…

Soma Zaidi »

Kumekucha usafirishaji korosho Mtwara

MTWARA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), imeanza kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kusafirisha korosho zinazozalishwa…

Soma Zaidi »

Mnada wa kwanza wa korosho wafanyika Tandahimba

MNADA wa kwanza wa zao la korosho umefanyika rasmi leo kwenye Chama Kikuu cha Ushirika wa Wilaya za Tandahimba na…

Soma Zaidi »

‘Sekta ya usafirishaji inahitaji wataalamu wa kutosha’

WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema sekta ya usafirishaji inahitaji wataalamu wa kutosha kwa ajili ya kufanya kazi katika…

Soma Zaidi »

Ujenzi Soko la Kariakoo tayari kumenoga

DSM; UJENZI wa Soko la Kariakoo lililopo mkoani Dar es Salaam umefikia asiliamia 91, ambapo kiasi cha fedha kilichotumika ni…

Soma Zaidi »

TADB yampa nguvu mwekezaji Karagwe

KAGERA; Karagwe. BENKI ya maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), imetoa kiasi cha Sh bilioni 1.7 kwa ajili ya kununua ng’ombe…

Soma Zaidi »

Tunduma kukusanya Sh milioni 80 maegesho ya magari

SONGWE; HALMASHAURI ya Mji Tunduma inategemea kukusanya kiasi cha Sh Millioni 80 mwaka wa fedha 2023/24 kupitia chanzo cha mapato…

Soma Zaidi »

Sagini azindua mfumo wa kidigitali wa huduma za fedha Jeshi la polisi

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi nchini leo Septemba 30, 2023 limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao…

Soma Zaidi »

Wawekezaji wahakikishiwa mazingira mazuri

DSM; KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dk Hashil Abdallah,  amesema Ofisa yeyote wa Serikali  atakayekwamisha ufanyaji biashara,…

Soma Zaidi »
Back to top button