Fedha

Ndege ya mizigo ATCL kusafirisha  chanjo DRC

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limeamua kutumia ndege mpya ya kisasa ya mizigo Boeing 767-300 inayomilikiwa…

Soma Zaidi »

Serikali: Hatuuzi, hatubinafsishi bandari

SERIKALI imesema hadi sasa haijapata kampuni ya kuwekeza katika bandari na haitauza au kubinafsisha bandari yoyote. Msemaji Mkuu wa Serikali,…

Soma Zaidi »

Majaliwa akaribisha wawekezaji kwenye  mbolea

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini. Ametoa mwaliko…

Soma Zaidi »

Kodi ya majengo yapanda

MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na shirika la umeme Tanzania (TANESCO) imeeleza kuwa serikali imefanya mabadiliko ya sheria…

Soma Zaidi »

Dar watakiwa kutumia fursa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kukuza kipato na kuimarisha uchumi kupitia…

Soma Zaidi »

Uhaba wa vitunguu wapaisha bei

UHABA wa vitunguu katika soko la Ilala jijini Dar es Salaam, umesababisha bei ya vitunguu kuwa juu na kufikia kati…

Soma Zaidi »

‘Msiwazie ajira ni TRA pekee’

CHUO  cha Kodi kimewataka vijana wanaosoma chuoni hapo kuondoa dhana kuwa sehemu pekee wanayoweza kupata ajira ni Mamlaka ya Mapato…

Soma Zaidi »

Jiji lajipanga uzalishaji majongoo bahari, kaa

JIJI la Tanga limejipanga kuwa kinara katika uzalishaji wa majongoo bahari, unenepeshaji wa kaa pamoja na kilimo cha mwani nchini…

Soma Zaidi »

‘DP World haitakuwa na mamlaka kupunguza wafanyakazi’

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Hamza Johari, ambaye ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Majadiliano kuhusu mwekezaji mpya kwenye…

Soma Zaidi »

Rais Samia: Msiogope kushirikiana na wakosoaji

Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi  mbalimbali kushirikiana na wadau wanaohisi wana mchango mzuri kwenye maendeleo ya taasisi zao. –…

Soma Zaidi »
Back to top button