Fedha

Leseni za biashara kutolewa kwa mfumo mmoja

SERIKALI inatarajia kuunganisha mfumo wa utoaji wa leseni za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) na Mamlaka ya…

Soma Zaidi »

Wadau wateta ushiriki wa Watanzania miradi ya kimkakati

SERIKALI imesema hadi kufikia Desemba 2022 iliratibu programu 72 za uwezeshaji nchini zilizotoa mikopo yenye riba nafuu yenye thamani ya…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara washukuru kuondolewa vikwazo mpakani

KAMPUNI ya Waandaaji wa maonesho ya Biashara, Kilimo, Uwekezaji na Utalii ya Afrika Mashariki (EAC EXPO), wameishukuru serikali mkoani Kagera…

Soma Zaidi »

Serikali yataja mambo matano kusimamia bajeti

SERIKALI imetangaza mambo matano inayozingatia kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa mipango na bajeti zinazopitishwa. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara madini kutembelea China

WAFANYABIASHARA wadogo na wa kati wa madini nchini Tanzania wanatarajia kufanya ziara nchini China Julai 2023, kwa lengo la kutafuta…

Soma Zaidi »

‘ChaWote’ kuwajaza wateja mapesa

Kampuni ya huduma za mawasiliano Tigo imezindua kampeni mpya inayojulikana kama ‘ChaWote’ itakayowawezesha watumiaji wa mtandao huo kujishidia zawadi mbalimbali…

Soma Zaidi »

‘Benki punguzeni riba watu wakope’

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa amezitaka benki mbalimbali nchini kupunguza riba, ili kutoa fursa kwa wateja kukopa na…

Soma Zaidi »

TPA yapunguza tozo mbalimbali

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imepunguza tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumika kwa lengo la kuvutia wateja zaidi katika…

Soma Zaidi »

India yaahidi raha wakulima

KAMPUNI na wafanyabiashara kutoka India wataendelea kuwa waagizaji  wakubwa na wanunuzi wa nafaka na mazao mchanganyiko, yakiwemo ya viungo kutoka…

Soma Zaidi »

Wanahisa Yetu Microfinance Plc waunda kamati kufuatilia hisa

WANAHISA katika Benki ya Yetu Microfinance Plc wameamua kuunda kamati kwa ajili ya kufuatilia hatima ya hisa zao kutokana na…

Soma Zaidi »
Back to top button