Fedha

Wanasiasa, wachumi Zanzibar wasifu bajeti

WANASIASA na wachumi wa sekta ya fedha zikiwemo benki, wameipongeza bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambayo inakwenda…

Soma Zaidi »

BoT kuhuisha Mfuko wa Dhamana uuzaji bidhaa nje

WIZARA ya Fedha na Mipango imesema serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itahuisha Mfuko wa Dhamana kwa wakopaji wanaozalisha…

Soma Zaidi »

Zimbabwe kusitisha mikopo fedha za kigeni

RAIS wa Zimbabwe,  Emmerson Mnangagwa ameamuru Benki Kuu nchini humo kusitisha kukopa fedha za kigeni kutoka vyanzo vya nje, hatua…

Soma Zaidi »

Pato la taifa laongezeka kwa Asilimia 5.2

PATO la Taifa (GDP) mwaka 2023 limeongezeka hadi kufikia asilimia 5.2 mwaka 2023 huku mfumuko wa bei ukisalia katika tarakimu…

Soma Zaidi »

Benki yazindua akaunti maalum ya walimu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Akaunti ya Mwalimu kwa lengo la kutoa suluhisho la huduma za kifedha zenye gharama…

Soma Zaidi »

Leo ni bajeti ya kukuza uchumi

SERIKALI leo inatarajia kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 203/24 ikiwa na malengo sita ya uchumi.…

Soma Zaidi »

Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishwa Sh tril 15

Wizara ya Fedha na Mipango imeomba ridhaa ya Bunge kuidhinisha Sh trilioni 15.94 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na…

Soma Zaidi »

TRA yawafunda waandishi wa habari

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewapa semina waandishi wa habari  kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya kodi. Akizungumza wakati wa…

Soma Zaidi »

‘Tuzungumze hali halisi katika uwekezaji’

VIONGOZI wa serikali pamoja na wanasiasa nchini wametakiwa kuzungumza uhalisia wa hali halisi katika uwekezaji ili kutafuta suluhisho katika eneo…

Soma Zaidi »

Meli yapeleka dawa za mikorosho Mtwara

MELI ya Sea Ruby imetia nanga katika Bandari ya Mtwara kwa ajili ya kushusha salpha kwa ajili ya kupulizia mikorosho…

Soma Zaidi »
Back to top button