Fedha

NBC yakabidhi gawio la bilioni 6/- serikalini

Serikali imepokea kiasi cha Shilingi  bilioni sita kutoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC). Kiasi hicho ni sehemu ya gawio…

Soma Zaidi »

Waishukuru serikali mazingira rafiki taasisi za fedha

WAKALA ambaye anafanya huduma za kifedha Emmanuel Mnema, ameishukuru Serikali kwa kuandaa mazingira mazuri kwa taasisi za kifedha na kusababisha…

Soma Zaidi »

‘Kuna watu wanafaidika mgomo Kariakoo’

MWENYEKITI wa wafanyabiashara Karikaoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea sasa unatokana na ushawishi wa kikundi cha watu wachache wenye maslahi…

Soma Zaidi »

TRA Kigoma yahamasisha umuhimu wa risiti

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoani Kigoma, imeeleza licha ya utoaji wa elimu ya mlipa kodi bado suala hilo limeendelea…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara Kariakoo wakubali kufungua maduka

BAADA ya agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa la kuwataka wafanyabiashara wa soko la Kariakoo kufungua maduka, hatimaye wafanyabiashara hao…

Soma Zaidi »

Dk Mpango kuanza ziara Arusha

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango kesho anatarajiwa kuanza ziara ya siku nne mkoani Arusha, ikiwemo kuweka jiwe la msingi…

Soma Zaidi »

Majaliwa aagiza kikosi kazi TRA kiondolewe Kariakoo

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza kuondolewa kwa kikosi kazi cha ukusanyaji wa mapato katika eneo la Kariakoo akida kuwa uwepo…

Soma Zaidi »

Majaliwa akutana na wafanyabiashara Kariakoo

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amefika Kariakoo kuzungumza na Jumuiya ya wafanyabiashara wa soko hilo, badala ya Mei 17, 2023 kama…

Soma Zaidi »

Tanzania yajipanga kufanikisha jukwaa la kimataifa AGRF-2023

IKIWA na lengo la kuwa kitovu cha uhakika wa chakula kimataifa, Tanzania inayosifika kwa uzalishaji wa chakula katika eneo la…

Soma Zaidi »

TRA yaonya wafanyabiashara wadanganyifu

MAMLAKA ya Mapato (TRA) Mkoa wa Katavi, imetangaza kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara watakaobainika kufanya udanganyifu kwa kutoa risiti za…

Soma Zaidi »
Back to top button