Featured

Featured posts

EAC iwalinde wanawake biashara za kuvuka mpaka

BAADHI ya wanawake wanategemea biashara za kuvuka mpaka kupata riziki za kuendesha familia zao ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Soma Zaidi »

ACT Wazalendo yaahidi serikali jumuishi Z’bar, mshahara mil 1/-

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema wananchi wakimchagua ataunda serikali jumuishi.…

Soma Zaidi »

CCM: Huwezi kumkwepa Samia

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kama Watanzania wanapiga kura za uchaguzi wa rais kwa kuzingatia matokeo, hakuna namna ya kutomchagua…

Soma Zaidi »

Simbu aiheshimisha Tanzania, Samia ampongeza

RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza mwanariadha, Alphonce Simbu kwa kuiwezesha Tanzania kupata medali ya kwanza ya dhahabu katika Mashindano ya…

Soma Zaidi »

CCM yakosa upinzani majimbo saba Geita

GEITA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimeweka wazi kuwa wagombea ubunge wa chama hicho kwenye majimbo saba ya uchaguzi…

Soma Zaidi »

CCM yaahidi stendi ya kisasa Mwanga

MWANGA, Kilimanjaro: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewaahidi wakazi wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, kuwa kikipata ridhaa ya kuwa madarakani…

Soma Zaidi »

Mndeme aahidi sera nzuri uwekezaji, ajira kwa vijana

KIGAMBONI, Dar es Salaam: MGOMBEA ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia chama cha ACT – Wazalendo, Mwanaisha Mndeme ameahidi iwapo atapewa…

Soma Zaidi »

Sumaye amsifu Dk Samia

SIHA, Kilimanjaro: WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mratibu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanda ya Kaskazini, Fredrick Sumaye amesema…

Soma Zaidi »

Wasira aongoza kampeni Kalenga

IRINGA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameongoza uzinduzi wa kampeni za uchaguzi katika Jimbo…

Soma Zaidi »

Mkakati wa kitaifa unahitajika kukabili vitendo vya kujiua

TATIZO la watu kujiua limeendelea kuitesa jamii na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imethibitisha hali hiyo wakati wa maadhimisho ya…

Soma Zaidi »
Back to top button