Jamii

Walioua bila kukusudia kwenye ‘kigodoro’ jela miaka 3

MKAZI wa Tegeta, Nassoro Hamadi (27), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila…

Soma Zaidi »

Watoto 1,114 walawitiwa ndani ya mwaka mmoja

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk. Dorothy Gwajima, amesema jumla ya matukio 1,114 ya watoto…

Soma Zaidi »

Ufugaji wa Konokono biashara iliyojificha

Konokono ni mboga ambayo nyama yake ina ladha na ni nzuri kwa afya ikiwa na chazo kikubwa cha protini, fosforasi,…

Soma Zaidi »

Vijana watakiwa kubadili tabia maambukizi VVU

VIJANA nchini wametakiwa kubadili tabia katika pambano dhihi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi, ili kupunguza maambukizi baina yao.…

Soma Zaidi »

Wilaya ya Tanganyika kupanda zaidi ya miti mil. 3

HALMASHAURI ya Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi, imepanga kupanda miche ya miti ya matunda na mbao milioni 3.5, ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Askari watoa msaada kituo cha watoto yatima.

Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha waliotimiza 22 kazini, wametoa msaada katika kituo cha kulea watoto yatima cha…

Soma Zaidi »

Idadi ya viongozi wanawake yaongezeka

WAKUU wa mikoa wanawake wameongezeka kutoka asilimia 10 mwaka 2005 hadi asilimia 23 mwaka 2022, huku wakuu wa wilaya wakiongezeka…

Soma Zaidi »

Lishe endelevu yawafikia wakulima Iringa

MRADI wa USAID Lishe Endelevu umeanzisha mashamba ya mfano 186 na kuwafikia na kuwajengea uwezo wakulima 6,842 ikiwa ni sehemu…

Soma Zaidi »

Heko Rais Samia, mcheza kwao hutunzwa

IKIWA imesalia wiki moja  kabla ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jamii ya wanazuoni inaona umuhimu wa kumtunuku Udaktari…

Soma Zaidi »

RC Morogoro atahadharisha utapeli wa viwanja

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwassa amewatahadharisha wananchi wa mkoa huo kuepuka kuwashirikisha watendaji kata ,vijiji, mitaa na wenyekiti…

Soma Zaidi »
Back to top button