Mitindo & Urembo

Amani yaongeza kasi ya ubunifu

MBUNIFU wa mavazi kutoka AM_Fashion, Agusta Masaki, amesema kuwa amani iliyopo nchini Tanzania ni nguzo muhimu inayowawezesha wabunifu na wafanyabiashara…

Soma Zaidi »

Miss Tanzania yakabidhiwa Lamata Village

MASHINDANO ya urembo ya Miss Tanzania yameingia katika sura mpya baada ya jukumu la kuyaendesha kukabidhiwa rasmi kwa taasisi ya…

Soma Zaidi »

Miriam Odemba: Serikali iweke nguvu sekta ya mitindo

DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO nguli Mtanzania, Miriam Odemba ameiomba Serikali kujizatiti kuunga mkono tasnia ya mitindo kwani inabeba sekta nyingi…

Soma Zaidi »

Agusta kuiwakilisha Tanzania katika onesho la mitindo Nigeria

MBUNIFU wa mavazi na mwanamitindo, Agusta Masaki, anatarajiwa kuiwakilisha Tanzania katika onyesho kubwa la mitindo Africana Royal Elegance Collection litakalofanyika…

Soma Zaidi »

Odemba: Mikakati, fursa zaja Sauti ya Mitindo

DAR ES SALAAM: JUKWAA la Sauti ya Mitindo Tanzania limejipanga kufanya makubwa kwa mwaka 2026, ikiwemo kuchagua wanamitindo wenye vigezo…

Soma Zaidi »

Namna ya kujali ngozi kwa urembo wa asili

DAR ES SALAAM; Ngozi ni kiungo muhimu cha mwili kinachohitaji utunzaji wa mara kwa mara, ili kubaki na afya na…

Soma Zaidi »

Amina Jigge aipeperusha Bendera ya Tanzania Miss Earth 2025

MREMBO wa Tanzania, Miss Amina Jigge, amepewa heshima ya kuiwakilisha nchi kwenye mashindano makubwa ya urembo duniani, Miss Earth 2025,…

Soma Zaidi »

Samia awakumbuke wanamitindo Tanzania

SERIKALI imetakiwa kulitupia jicho sekta ya mitindo nchini kwa kuipa kipaumbele na sapoti sawa na inavyofanya kwenye sekta ya michezo,…

Soma Zaidi »

Beatrice ang’ara, Top 5 Miss Grand 2025

MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2025 yaliyomalizika nchini Thailand, Beatrice Alex Akyoo, amefanikiwa kupeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »

Mobetto kupamba Tanzania Fashion Festival

MWANAMITINDO na msanii maarufu wa Bongo Movie, Hamisa Mobetto, anatarajiwa kupamba usiku wa Tanzania Fashion Festival utakaofanyika Oktoba 18 katika…

Soma Zaidi »
Back to top button