Muziki

Tanzania yaandaa tuzo za Hap Awards

DAR-ES-SALAAM: TUZO za Kimataifa zinazojulikana kama Hap Awards zinatarajia kufanyika nchini  Tanzania katika ukumbi wa  The Super Dome Masaki Agosti…

Soma Zaidi »

Snura aacha muziki

DAR-ES-SALAAM: MWIMBAJI wa muziki wa mduara nchini, Snura Mushi ametangaza kuacha muziki kuvitaka vyombo vya habari na wote wenye nyimbo…

Soma Zaidi »

Mwaitege akanusha uzushi wa kifo

DAR-ES-SALAAM: Mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini,Boniface Mwaitege  amekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa yeye amefariki. Akikanusha taarifa…

Soma Zaidi »

Usher akumbuka alivyotelekezwa na Baba

MAREKANI – Mwimbaji wa R&B-pop wa Marekani Usher Raymond IV – Usher ametoa hotuba ya kusisimua wakati akipokea tuzo ya…

Soma Zaidi »

Harmonize aachia rasmi Muziki wa Samia

MTANDAONI:Msanii wa bongo fleva Rajabu Abdul ‘Harmonize’,  ameachia rasmi albamu yake ya tano ijulikanayo kama Muziki wa Samia. Msanii huyo…

Soma Zaidi »

Chibu; Sidondoki mpaka Mungu aseme

DAR ES SALAAM: Msanii  wa Muziki wa Bongo Fleva,Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” amesema bado yupo sana kwenye muziki mpaka pale…

Soma Zaidi »

Diamond; Nikikupa moyo wangu unadondoka puuh!

DAR ES SALAAM: Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema yeye ni binadamu mvumilivu mno…

Soma Zaidi »

Diamond: Siongei sana, nishavuka huko

DAR ES SALAAM :Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema mwaka huu amejipanga kufanya muziki mzuri wa…

Soma Zaidi »

Mtoto wa Ali Choki aacha ukurugenzi Extra Bongo sababu ya Bongo Fleva

DAR ES SALAAM: MTOTO wa mwanamuziki mashuhuri nchini Ali Choki, Choki Junior amejiengua katika bendi ya Extra Bongo inayomilikiwa na…

Soma Zaidi »

Rayvany anawaza ngoma na Adele

MSANII wa Bongo fleva nchini Raymond Shabani ‘Rayvanny’ amesema kuwa anatamani kufanya kazi na Mwimbaji kutoka nchini Uingereza Adele. Rayvanny…

Soma Zaidi »
Back to top button