Wanawake

Temeke kumekucha safari ya Miss Tanzania

DAR ES SALAAM: Warembo 15 wanatarajiwa kushindania taji la Miss Temeke 2026, huku washiriki watano watakaofanya vizuri wakipata nafasi ya…

Soma Zaidi »

Jaydee: Wanawake wasihukumiwe kwa mavazi

DAR ES SALAAM: Msanii wa muziki wa bongo fleva Judithi Wambura ‘Lady Jaydee’, ameitaka jamii kuacha kuhukumu wanawake kwa namna…

Soma Zaidi »

Jukwaa kujadili mustakabali wa viongozi

DAR ES SALAAM: Jukwaa la Uongozi wa Wanawake ni muhimu katika kujadili namna ya kuhakikisha wanawake wanaopata nafasi za uongozi…

Soma Zaidi »

Kopwe: Mashariki ilinifungulia njia kuwa Miss Tanzania

PWANI:  MISS Tanzania 2022, Halima Kopwe, amesema ushiriki wake katika mashindano ya Miss Kanda ya Mashariki ulikuwa hatua muhimu katika…

Soma Zaidi »

Miss Kanda ya Mashariki waanzisha mwendo

PWANI: Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Khadija Nassir Ali, amesema serikali itaendelea kuunga mkono mashindano ya Miss Tanzania kwa kuwa…

Soma Zaidi »

Luizer awasihi wanawake kutunza ngozi

MSANII wa muziki wa dansi, Luizer Nyoni Mbutu, amewashauri mabinti na wanawake kuthamini na kutunza ngozi zao kwa kuepuka matumizi…

Soma Zaidi »

Wanawake 50 kuwezeshwa uchumi wa urembo

DAR ES SALAAM: Wanawake vijana 50 wanatarajia kujengewa uwezo na kukuzwa kiuchumi kupitia sekta ya urembo inayokua kwa kasi nchini…

Soma Zaidi »

Unyanyapaa,vikwazo vilivyowafanya Joan,lissa kupigania ndoto zao

"WALINIAMBIA sitafika mbali. Wengine walisema bora nipewe mtaji niuze machungwa kuliko kuendelea kuota ndoto za kurudi shule."

Soma Zaidi »

Tupige kelele kukataa ukatili wa kijinsia

NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhandisi Maryprisca Mahundi, amewataka wazazi na walezi kuimarisha malezi…

Soma Zaidi »

Mradi Kidijitali kuwanufaisha wanawake Lakimoja

ZAIDI ya wanawake 100,000 kutoka maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kunufaika na mradi wa miaka mitatu wa uwezeshaji wa wanawake kiuchumi…

Soma Zaidi »
Back to top button