Kimataifa

Kamala Harris kutoa ripoti ya afya yake leo

MGOMBEA urais wa Marekani kupitia chama cha Democrat, Kamala Harris leo anatarajiwa kutoa ripoti ya historia yake ya tiba na…

Soma Zaidi »

Idadi waliokufa Florida yafikia kumi

Soma Zaidi »

Majaji Kenya kusikiliza kesi ya Gachagua

KENYA : MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imepinga maamuzi ya wabunge kumuondoa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua na imeomba mchakato huo…

Soma Zaidi »

Watu 22 wapoteza maisha Beirut

LEBANON : MASHAMBULIZI  ya Israel katika eneo la katikati mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut yamewauwa watu 22, wengine wamejeruhiwa…

Soma Zaidi »

Juhudi kurejesha amani Myanmar hazitoshi

LAOS : VIONGOZI wa mataifa 10 wanachama wa Jumuiya ya Kusini Mashariki Asia waliokutana katika kilele cha mkutano wa Laos…

Soma Zaidi »

Israel yaonywa mashambulizi Lebanon

WASHINGTON  DC : SERIKALI ya Marekani imeitaka Israeli kujiepusha na operesheni za kijeshi nchini Lebanon, baada ya Waziri Mkuu Benjamin…

Soma Zaidi »

Saudi Arabia nje baraza la haki za binadamu

USWISI : SAUDI  ARABIA  imepoteza kiti cha ujumbe kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kufuatia kampeni…

Soma Zaidi »

Kimbunga Milton chabisha hodi Florida

MAREKANI : KIMBUNGA Milton kimetuwa jimboni Florida na kusahabisha uharibifu mkubwa na kuacha takriban nyumba na maakazi milioni 3 bila…

Soma Zaidi »

Waafrika kutengeneza drone Urusi

URUSI : TAKRIBAN wanawake 200 wenye miaka 18 hadi 22 kutoka barani Afrika, wanasajiliwa kwenda kufanya kazi Urusi. Wanawake hao…

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu Msumbiji kufanyika leo

WANACHI wa Msumbiji wanapiga kura leo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Bunge la Taifa na mabunge ya majimbo. Wagombea urais…

Soma Zaidi »
Back to top button