Africa

Spika wa Bunge Afrika Kusini ajiuzulu

CAPE TOWN, Afrika Kusini: NOSIVIWE Mapisa-Nqakula amejiuzulu rasmi nafasi ya uspika wa Bunge la Afrika Kusini kutokana na tuhuma za…

Soma Zaidi »

Zuma akata rufaa marufuku ya uchaguzi

AFRIKA KUSINI; Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewasilisha rufaa dhidi ya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo,…

Soma Zaidi »

Sonko ateuliwa Waziri Mkuu Senegal

SENEGAL; RAIS mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, amemteua Ousmane Sonko kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Sonko mpinzani wa…

Soma Zaidi »

Mwigizaji mwingine nguli Nigeria afariki dunia

NIGERIA: Abuja. MUIGIZAJI, mtayarishaji na muongozaji wa filamu mkongwe nchini Nigeria Amaechi Muonagor, amefariki dunia baada ya kuugua figo, kisukari…

Soma Zaidi »

Watu 11 wakamatwa Nigeria kisa kula mchana

POLISI wa Kiislamu wanaofahamika kwa jina la Hisbah Kaskazini mwa Jimbo la Kano nchini Nigeria wamewakamata waislamu 11 kwa kula…

Soma Zaidi »

Wawili wapoteza maisha ajali Kenya

WATU wawili wanahofiwa kufa baada ya gari la shule ya wavulana Kapsabet kupinduka katika Jimbo la Baringo nchini Kenya leo.…

Soma Zaidi »

Makamba ashiriki mkutano Baraza la Mawaziri AU

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ameshiriki Mkutano Maalum wa 22…

Soma Zaidi »

Rais Ivory Coast kugombea tena

RAIS wa zamani wa Ivory Coast, Koudou Gbagbo Laurent amekubali kugombea urais katika uchaguzi wa 2025. Koudou Gbagbo alikubali kuongoza…

Soma Zaidi »

Kagame kuwania tena urais

RAIS Paul Kagame wa Rwanda amechaguliwa na chama chake cha Rwandan Patriotic Front (RPF) kuwa mgombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi zaidi ya 200 watekwa Nigeria

WANAFUNZI zaidi 200 nchini Nigeria wametekwa na watu wenye silaha katika mji uliopo Kaskazini wa Kuriga. Idadi ya waliotekwa kutoka…

Soma Zaidi »
Back to top button