Amerika

Pele afariki Dunia akiwa na miaka 82

Pele, nguli wa soka wa Brazil na mshindi mara tatu wa Kombe la Dunia, amefariki Dunia akiwa na umri wa…

Soma Zaidi »

Dhoruba yaua 28 Marekani

WATU 28 wamekufa magharibi mwa Jimbo la New York, wengi wao kutoka Buffalo, wakati wa dhoruba kubwa ya msimu wa…

Soma Zaidi »

Pence akana kutaka kuwania urais

Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani, Mike Pence hajawasilisha ombi la kugombea urais mwaka 2024 kwa mujibu wa mshauri…

Soma Zaidi »

Biden kutembelea nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

RAIS wa Marekani Joe Biden ametangaza mipango ya kuzuru nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara hivi karibuni ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Musk amrejesha Trump Twitter

MMILIKI wa Twitter na Bosi wa Tesla, Elon Musk amerejesha akaunti ya Twitter ya Rais wa zamani wa Marekani Donald…

Soma Zaidi »

Trump atangaza nia kurudi Ikulu Washington

RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuwania tena kiti cha urais wa nchi hiyo ifikapo 2024 licha ya…

Soma Zaidi »

Umoja wa Mataifa wamuonya mmiliki Twitter

UMOJA wa Mataifa (UN) umemuonya mmiliki mpya wa mtandao wa ‘Twitter’ Elon Musk, dhidi ya watumiaji wa mtandao huo watakaochapisha…

Soma Zaidi »

Marekani yaihakikishia Ukraine msaada zaidi

MAREKANI imeihakikishia Ukraine juu ya usafirishaji wa mifumo miwili kati ya minane ya ulinzi wa anga ya NASAMS ambayo iliahidi…

Soma Zaidi »

Trump aiburuza kortini CNN, adai fidia ya Sh tril 1.11

RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump amekishtaki kituo cha habari cha CNN akidai fidia ya dola milioni 475 (Sh…

Soma Zaidi »

Sh Bil 34 kuwezesha usafiri kwa wajawazito

TANZANIA itapokea msaada wa Dola Milioni 15 (takribani shilingi Bilioni 34), kutoka Kampuni ya Vodafone, ili kuwezesha usafiri wa dharura…

Soma Zaidi »
Back to top button