Asia

Nguruwe amuua mchinjaji

MFANYAKAZI wa eneo la machinjio jijini Hong Kong nchini China, amefariki alipokuwa akijaribu kuchinja nguruwe. Mchinjaji huyo mwenye umri wa…

Soma Zaidi »

Mafuriko yaua 13 Ufilipino

VIFO vya watu vilivyotokana na mafuriko vimefikia 13 huku zaidi ya 45,000 wakiokolewa na kuhifadhiwa kwenye vituo maalumu, wengi waliopotea…

Soma Zaidi »

Urusi yadai Vatican imeiomba radhi kufuatia kauli ya Papa

VATICAN imeomba msamaha kwa Urusi baada ya Papa kudai makabila mawili yanayopigana katika operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine…

Soma Zaidi »

Messi aweka rekodi nyingine Qatar

Lionel Messi amempiku nyota wa soka wa Argentina, Gabriel Batistuta kama mfungaji bora wa taifa hilo katika Kombe la Dunia…

Soma Zaidi »

Mzambia auawa akipigana na vikosi vya urusi

MWANAFUNZI raia wa Zambia ambaye alikuwa akitumikia kifungo nchini Urusi na kufariki akipigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine alikuwa…

Soma Zaidi »

Rais wa zamani China afariki

#BREAKING #NEWS: Rais wa zamani wa Jamhuri ya Watu wa China, Jiang Zemin, ambaye aliongoza nchi kupitia mabadiliko kisiasa mwishoni…

Soma Zaidi »

UBIA TANZANIA-CHINA: Peleka Mbele Urafiki, Ongoza Kukuza Mafanikio Mapya

Katika mwaliko wa Rais Xi Jinping wa Jamhuri ya Watu wa China, Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi »

Washington, Beijing za ahidi kushirikiana kuboresha uhusiano

RAIS wa Marekani, Joe Biden na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping wameahidiana kushirikiana kutatua changamoto zinazokumba…

Soma Zaidi »

Waziri wa Urusi augua ghafla ugenini

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amekimbizwa katika Hospitali ya Bali nchini Indonesia baada ya jana kuwasili…

Soma Zaidi »

Netanyahu arejea madarakani Israel

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Israel Benjamin Netanyahu amerejea madarakani Alhamisi Nov. 3 baada ya uchaguzi wa wiki hii kumpa…

Soma Zaidi »
Back to top button