Ulaya

Tulia: Tanzania Iko Tayari kwa IPU

TANZANIA imewahakikishia wajumbe na wageni watakaoshiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuwa imeweka na kuimarisha hatua…

Soma Zaidi »

Papa Leo XIV aitaka Dunia kusitisha mapigano Krismasi

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ametoa wito wa kusitisha mapigano kwenye maeneo yenye migogoro duniani wakati wa…

Soma Zaidi »

Daktari jela kuwaua wagonjwa

DAKTARI mmoja wa Ufaransa, Frédéric Péchier (53), amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwadunga sindano…

Soma Zaidi »

Vigogo BBC kujibu tuhuma Bungeni

VIONGOZI wa ngazi ya juu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) wanaohusishwa na sakata ya hivi karibuni ya uhariri…

Soma Zaidi »

Waziri mkuu mpya ajiuzulu Ufaransa

PARIS: WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, aliyeteuliwa hivi karibuni, amejiuzulu Jumatatu katika hatua ambayo haikutarajiwa. Ikulu ya Elysée imesema…

Soma Zaidi »

Chama Tawala chaongozo Moldova

MOLDOVA : CHAMA tawala cha Moldova kinachounga mkono Umoja wa Ulaya (EU) kimeibuka kinachoongoza katika uchaguzi wa bunge, kufuatia kura…

Soma Zaidi »

Tunaitambua Palestina – Keir Starmer

LONDON: UINGEREZA , Australia na Canada zimetangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, hatua inayotajwa kuwa mabadiliko makubwa ya sera za…

Soma Zaidi »

CHP yamchagua Ozel kuwa kiongozi

UTURUKI: CHAMA kikuu cha upinzani nchini Uturuki, CHP, kimemchagua tena Ozgur Ozel kuwa kiongozi wake katika mkutano mkuu uliofanyika Jumapili,…

Soma Zaidi »

Maelfu ya wafanyakazi waandamana Paris

PARIS: MAELFU ya wafanyakazi mjini Paris wamegoma kufanya kazi na kuandamana jijini Paris wakipinga mpango wa serikali wa kupunguza bajeti.

Soma Zaidi »

Putin: Msitumie Mali za Urusi

MOSCOW, URUSI : SERIKALI ya Urusi imeonya kuwa italishambulia taifa lolote la Ulaya litakalothubutu kuchukua mali zake zilizozuiwa, kufuatia mapendekezo…

Soma Zaidi »
Back to top button