Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Waitahadharisha serikali harufu ya upigaji migodini

MIRERANI, Arusha: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameshauriwa na wamiliki wa migodi ya madini ya Tanzanite kuwa macho dhidi ya…

Soma Zaidi »

Bei ya petroli, dizeli yapaa

DAR ES SALAAM: Bei za mafuta ya petroli na dizeli zimepaa nchini mwezi huu wa Aprili 2024 ikilinganishwa na Machi…

Soma Zaidi »

Mavunde kuifanya Dodoma ya kimichezo

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ameanza ujenzi wa viwanja vya michezo ya mpira wa kikapu (basketball),…

Soma Zaidi »

Miaka mitatu ya Samia heshima Sekta ya Madini

DAR ES SALAAM: Sekta ya Madini imetajwa kukua kwa kasi ndani ya miaka mitatu ya Rais Samia huku ikichangia asilimia…

Soma Zaidi »

Wabunge wasisitiza matumizi ya gesi asilia viwandani

DAR ES SALAAM: KAMATI ya kudumu ya bunge ya nishati na madini imeishauri wawekezaji wa viwanda kutumia gesi asilia ili…

Soma Zaidi »

Wabunge: Serikali iagize magari yanayotumia gesi

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi…

Soma Zaidi »

Sh Trilioni 1 kibindoni sekta ya madini

DAR ES SALAAM: Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi  wa Rais Samia Suluhu Hassan, Wizara ya Madini imekusanya  Sh…

Soma Zaidi »

Kenya, Uganda watatua mvutano wa petroli

KISOZI, Uganda: NCHI za Kenya na Uganda zimeafikiana kutatua mgogoro wa uingizaji wa petroli katika nchi hizo kwa namna ambayo…

Soma Zaidi »

Stamico yafungua milango ya uchorongaji Geita

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limekabidhi mtambo wa uchorongaji kwa Shirikisho la Wachimbaji Wadogo mkoani Geita (Gerema) ambao umeanza…

Soma Zaidi »

“Serikali iboreshe mfumo wa SCADA”

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kupitia kwa Wakala wa Uagizaji wa…

Soma Zaidi »
Back to top button