Maoni

Kila mtu anastahili awe na choo bora

KILA Novemba 19 huwa ni maadhimisho ya siku ya choo duniani. Katika taarifa ya kuadhimisha siku hii, Mkurugenzi wa Shirika…

Soma Zaidi »

Ng’ombe waondolewe pia kote walikovamia

LEO, ng’ombe 433 waliokamatwa katika eneo la ardhi oevu ya Bonde la Ihefu, ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha…

Soma Zaidi »

Ng’ombe milioni 10 tu wanatutosha kwa sasa

TANZANIA kwa sasa inakadiriwa kuwa na ng’ombe milioni 40 ambao, zaidi ya asilimia 80 ya wanyama hao ni wa kienyeji…

Soma Zaidi »

Biashara ya kujiuza isifumbiwe macho

HAPO zamani ilikuwa ikifanywa na wachache na katika mikoa kama wa Geita kwa kificho. Lakini sasa mambo yamebadilika kipindi hiki…

Soma Zaidi »

Mlalamikaji kumhudumia mahabusu ni kulea uhalifu

JANA katika kikao cha mkutano wa Bunge unaoendelea jijini Dodoma, serikali imezungumzia vitendo vya mlalamikaji kulazimishwa kugharimia usafi rishaji wa…

Soma Zaidi »

Wanatuita maskini, lakini wanakuja kwetu!

MWISHONI mwa juma, Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, aliahirisha Mkutano wa 12 wa Bunge la Tanzania. Katika hotuba yake,…

Soma Zaidi »

 ‘Mwagilia moyo’ kwa lishe bora kuepuka NCDs

RIPOTI ya Shirika la Afya Duniani (WHO) inaonesha kuwa vifo milioni saba vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza vinaweza kuzuiwa ifikapo mwaka…

Soma Zaidi »

Njia bora kupunguza ajali za barabarani itakayozinduliwa kwanza Tanzania

HIVI karibuni, Tanzania itafanya uzinduzi wa Programu ya Kutathmini Viwango na Usalama wa Barabara (Tanzania Roads Assessment Program-TanRAP), ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Kuapishwa kwa Ruto kulete maendeleo Kenya, EAC

LEO Septemba 13, 2022, Rais Mteule wa Kenya, Dk William Ruto, anaapishwa kuwa Rais wa Tano wa Kenya akitanguliwa na…

Soma Zaidi »

Watanzania tusaidie chakula kwa majirani EAC, lakini…

RAIS Samia Suluhu Hassan, Jumapili aliwaondoa wasiwasi na kuwathibitishia Watanzania kuwa, bado Tanzania ina chakula cha kutosha na hakuna tishio…

Soma Zaidi »
Back to top button