Uchambuzi

Wachezaji hawa wana deni kubwa kwa timu zao

HEKAHEKA za usajili kuelekea msimu ujao kwa timu za Simba, Yanga na Azam zimezidi kushika kasi kila upande ukipambana kupata…

Soma Zaidi »

SUA wanavyotumia bundi kudhibiti viumbe hai waharibifu

BUNDI ni jamii ya ndege anayeishi kwa kutegemea nyama kama chakula chake kikuu. Hutafuta mawindo yake nyakati za usiku na…

Soma Zaidi »

Buriani Tina Turner

ULIMWENGU mzima wa muziki unaomboleza kifo cha gwiji wa muziki, Tina Turner, ambaye alivuma kwa vizazi hadi vizazi. Tukio hili…

Soma Zaidi »

Kaka mchambuzi vipi ubadilike kama Zuwena?

UKIPIGA hapokei, wala ujumbe hajibu. Wengi wa watu wake wa karibu humlalamikia kuwa amebadilika. Mmoja alinukuliwa: “Amekuwa mwepesi hata mbele…

Soma Zaidi »

Mfumo mpya kupima utendaji wa watumishi utaongeza uwajibikaji

KUANZISHWA kwa mfumo mpya wa kupima utendaji kazi kubaini mikoa na halmashauri zinazoongoza kukwepa kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi,…

Soma Zaidi »

Taifa Stars njia panda Afcon

H ARAKATI za timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ za kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zimegubikwa…

Soma Zaidi »

Utekelezaji wa TanRAP, mwelekeo mpya kukabili ajali barabarani

JITIHADA za Tanzania kukabiliana na wimbi la ajali za barabarani zinazogharimu maelfu ya watu kila kukicha, zinatarajiwa kuchukua uelekeo mpya.…

Soma Zaidi »

Umuhimu wa Baraza Huru la Habari na changamoto zake

TASNIA ya sheria nchini inaadhimisha Wiki ya Sheria iliyozinduliwa na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango Januari 22, 2023, Dodoma…

Soma Zaidi »

Heri ya siku ya kuzaliwa Rais Samia

RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatimiza umri wa miaka 63. Alizaliwa Januari 27, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Saratani ya utumbo mpana, haja kubwa tishio kwa jamii

SARATANI ya utumbo mpana ni matokeo ya viotea au uvimbe ambao awali mtu huishi nao kama viotea vya kawaida na…

Soma Zaidi »
Back to top button