Bunge

Lusinde ataka Dk Bashiru ajiuzulu

MBUNGE wa Mvumi, Livingston Lusinde (CCM) amemshauri Mbunge wa Kuteuliwa, Dk Bashiru Ali ajiuzulu ili Rais Samia Suluhu Hassan ateue…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa suluhu kwa waliokosa mkopo elimu ya juu

RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo waliopaswa kusajiliwa vyuoni waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu…

Soma Zaidi »

Shujaa Majaliwa ‘akunja’ milioni 5/- za wabunge

SPIKA wa Bunge Dk Tulia Ackson ametangaza kuwa wabunge wamechanga kiasi cha Shilingi 5,023,000 kwa lengo la kumpongeza kijana Majaliwa…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu amtaja Aziz Ki akizipongeza Simba, Yanga

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa hoja ya kuahirisha Bunge leo jijini Dodoma huku akizipongeza timu za Simba na Yanga kwa…

Soma Zaidi »

Shujaa Majaliwa ‘kuoga’ fedha za wabunge

Mbunge Hamis Kigwangala ameomba mwongozo bungeni akitaka wabunge wakatwe kiasi cha Sh 50,000 kutoka kwenye posho zao za leo kwa…

Soma Zaidi »

Serikali yafafanua nusu kaputi kuhusishwa na vifo

SERIKALI imeeleza kuwa kuna sababu tatu zinazochangia vifo vya wajawazito wakati wa kujifungua kwa upasuaji. Akizungumza wakati wa kipindi cha…

Soma Zaidi »

Serikali: Ajira 73 za watalaam wa mazingira mbioni

JUMLA ya wataalam wa mazingira 73 wanatarajiwa kuajiriwa katika mwaka huu wa fedha 2022/23 ikiwa ni miongoni mwa hatua zinazochukuliwa…

Soma Zaidi »

Waziri Ummy: Uzee na kuzeeka havikwepeki

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wabunge kupitisha Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote Ijumaa, wazee bila…

Soma Zaidi »

HEET, ‘Samia Scholarship’ kuongeza udahili elimu ya juu

Maboresho ya miundombinu yanayoendelea katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu chini ya mradi wa mapinduzi ya Mradi…

Soma Zaidi »

Naibu Waziri: Tanzania kujitoa OGP hakuna madhara

SERIKALI imesistiza kuwa msukumo anautoa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na uwepo wa vyombo ya kiuwakajibikaji na serikali kuridhia Mpango…

Soma Zaidi »
Back to top button