Chaguzi

NEC kusaidia wenye mahitaji maalumu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewajengea uwezo baadhi ya watumishi wake ili kuwahudumia watu wenye mahitaji maalumu hususani viziwi.…

Soma Zaidi »

Walioanza kujipitisha ubunge, udiwani waonywa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita, Nicolous Kasendamila, amekemea wanachama kuanza kampeni za kunyemelea nafasi za udiwani na…

Soma Zaidi »

CCM ‘ni Dk Samia’

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM wamemchugua Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kura 1,914 kati ya 1915,…

Soma Zaidi »

UCHAGUZI CCM: Karamagi aibuka kidedea Kagera

Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005-2010 Naziri Karamagi ameibuka kidedea ametangazwa kuwa mshindi katika…

Soma Zaidi »

Ndugai aongoza Uchaguzi wa Mwenyekiti CCM Dodoma

SPIKA wa zamani Bunge la Tanzania Job Ndugai ameibua shangwe muda mchache baada ya kukubari ombi la wajumbe wa Mkutano…

Soma Zaidi »

CCM Dar es Salaam wakutana kuchagua Mwenyekiti

UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam unaendelea ambapo wagombea, Mama Kate Kamba anatetea…

Soma Zaidi »

CCM yafanya maamuzi magumu Simiyu, Arusha, Mbeya

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefuta matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu na kusimamisha…

Soma Zaidi »

Mtepa ang’ara CCM Mpanda

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, wamemchagua Method Mtepa, kuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya hiyo,…

Soma Zaidi »

Bujiku Mwenyekiti mpya CCM Ilemela

YUSUPH Bujiku ameibuka kuwa Mwenyekiti mpya  wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Ilemela. Msimamizi mkuu wa uchaguzi huo, Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Bega Mwenyekiti mpya CCM Nyamagana

PETER Bega ameibuka kuwa Mwenyekiti mpya  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyamagana. Msimamizi mkuu wa uchaguzi huo, Wilaya…

Soma Zaidi »
Back to top button