Diplomasia

Tanzania, China kuenzi urafiki wa Nyerere

DAR ES SALAAM: Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) kimeandaa Mbio za Tanzania-China kwa lengo la kuenzi…

Soma Zaidi »

Spika Zungu atoa neno Mkutano IPU

ARUSHA; Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu amesema Mkutano  wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) si…

Soma Zaidi »

Dk Tulia aridhishwa maandalizi mkutano IPU Arusha

DAR ES SALAAM: Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), DktTulia Ackson, ametangaza kuwa Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji wa…

Soma Zaidi »

Misri kuwekeza kilimo cha umwagiliaji

SERIKALI ya Tanzania na Misri zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo, hususan kilimo cha umwagiliaji, kwa lengo la kuongeza…

Soma Zaidi »

Tanzania, Misri kuimarisha uchukuzi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Misri zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta…

Soma Zaidi »

CHAKULA, DIPLOMASIA NA USHAWISHI

Asubuhi ya Mei 16, 2026, shughuli za usafirishaji wa mazao katika mpaka wa Holili unaounganisha Tanzania na Taveta nchini Kenya…

Soma Zaidi »

Diplomasia ya Tanzania ilivyofungua fursa za uchumi miaka 5 ya Samia

Mwaka 2021, Tanzania ilikuwa katika kipindi cha mpito. Dunia ilikuwa ikijinasua kutoka athari za janga la UVIKO-19 huku ushindani wa…

Soma Zaidi »

Wizara yajivunia taswira, heshima ya Tanzania kimataifa

DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kufuatia utekelezaji wa vipaumbele vya wizara na kwa…

Soma Zaidi »

‘Msimamo wa Tanzania ni kutofungamana na upande wowote’

DODOMA; WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema  Tanzania inaendelea kudumisha misingi…

Soma Zaidi »

Makalla akutana na Waziri wa Uchumi Urusi

ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumamosi Mei 16, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na…

Soma Zaidi »
Back to top button