Tanzania

Daraja la Kiloka kujengwa

MOROGORO; Serikali imeshaidhininisha kiasi cha Sh Milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Kiloka linaounganisha Kijiji cha Kiloka…

Soma Zaidi »

Waziri Kairuki atoa somo misitu iliyoharibiwa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Maliasili wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa…

Soma Zaidi »

Ushuru kuku, samaki wa nje kuinua wafugaji

ZANZIBAR;SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema kitendo cha kuongeza ushuru kwa bidhaa za kuku pamoja na samaki wanaotoka nje ya…

Soma Zaidi »

Serikali yataja mikakati kuwalinda wenye ualbino

DODOMA – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza mikakati ya serikali bungeni inayolenga kuimarisha ulinzi na usalama wa makundi ya watu…

Soma Zaidi »

Athari mbadiliko tabianchi na Uchaguzi Mkuu 2025

DAR ES SALAAM; Mabadiliko ya tabianchi ni mabadiliko katika hali ya hewa ya dunia, yanaweza kujumuisha ongezeko la joto la…

Soma Zaidi »

Mpango msibani kwa Katibu Tawala Nzunda

KILIMANJARO – Makamu wa Rais Dk Philip Mapango amesema watumishi wa Umma wanapaswa kumuenzi aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro…

Soma Zaidi »

Serikali: Tumieni kiwanda cha viuadudu Kibaha

DODOMA – NAIBU Spika, Mussa Hassan Zungu ameishauri serikali kuongeza nguvu katika kutumia bidhaa ya viuadudu inayozalishwa katika kiwanda cha…

Soma Zaidi »

Zeco kuilipa Tanesco kwa awamu

ZANZIBAR – WIZARA ya Maji, Nishati na Madini imesema Shirika la Umeme la Zanzibar (ZECO) hadi kufi kia Februari mwaka…

Soma Zaidi »

Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

HAI, Kilimanjaro – KATIBU Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda amefariki dunia leo baada ya kupata ajali wilayani Hai mkoani…

Soma Zaidi »

Samia: Vyombo vya habari si adui

DAR ES SALAAM RAIS :Samia Suluhu Hassan amesema vyombo vya habari si adui wa serikali bali ni mdau muhimu, hivyo…

Soma Zaidi »
Back to top button