Kanda

Hujuma yakosesha umeme wilaya tatu Kigoma

WATU wasiojulikana wamehujumu miundombinu ya Gridi ya Taifa ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kutoka kituo cha Nyakanazi…

Soma Zaidi »

HABARI KUU: Septemba 27, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba 27, 2022 jioni.

Soma Zaidi »

Sh Bil 19 kuboresha miundombinu ya maji Mtwara

SERIKALI imetoa kiasi cha sh bilioni 19 kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA), kwa ajili…

Soma Zaidi »

‘Usimamizi masuala ya chakula urejeshwe TMDA’

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeishauri serikali kufanya tathmini ya kina ya usimamizi wa…

Soma Zaidi »

Ujenzi sekondari Kigera bado kidogo tu!

UJENZI wa sekondari mpya ya Kata ya Kigera, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara  inayotakiwa kuanza usaili wa wanafunzi wa kidato…

Soma Zaidi »

Jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 6

MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa, imemuhukumu kifungo cha maisha, Ayubu Kiyanza (22) mkazi wa eneo la Don Bosco Manispaa ya…

Soma Zaidi »

‘Wapeni elimu ya pensheni kabla hawajastaafu’

MIFUKO ya hifadhi ya jamii nchini, imetakiwa kutoa elimu ya pensheni kwa watumishi kabla hawajastafu. Hayo yamesemwa leo na Naibu…

Soma Zaidi »

DC Mtwara, Meneja TSN wateta fursa za maendeleo

MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Dustan Kyobya leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Meneja Huduma za Habari za Lugha…

Soma Zaidi »

Wahamasishwa kujifunza Kichina

LUGHA ya Kichina hapa imeelezwa kuchochea ukuaji wa uchumi pamoja na kutoa ajira mbalimbali katika sekta binafsi na za umma…

Soma Zaidi »

Wananchi Majalila wasaidia ujenzi kituo cha Polisi

WANANCHI wa Kijiji cha Majalila, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameungana na serikali kujenga kituo cha Polisi kwa kuchangia fedha…

Soma Zaidi »
Back to top button