Maisha ya Vijijini

NFRA yasambaza mahindi kwenye halmashauri 46

WAKALA ya Taifa ya Hifadhi ya Chakula (NFRA), umepeleka mahindi kwenye halmashauri 46 zenye uhitaji na unaendelea kupokea maombi ya…

Soma Zaidi »

Kijana ahukumiwa kuchapwa viboko 24

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imemhukumu mkazi wa kijiji cha Msia kata ya Chitete wilayani humo, Furaha Simkonda…

Soma Zaidi »

Mchimbaji madini mbaroni akidaiwa kuua kwa risasi

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limemkamata mchimbaji na mnunuzi wa madini, Ezekiel Luhwesha (31) akituhumiwa kumuua wakala wa maegesho ya…

Soma Zaidi »

REA, EU wasaini umeme vijijini maeneo 426

WAKALA ya Nishati Vijijini (REA) na Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), wamesaini mkataba na wakandarasi 59 kutekeleza mradi wa…

Soma Zaidi »

‘Lambalamba’ 170 mbaroni ramli chonganishi

JESHI la Polisi mkoani Rukwa limewakamata waganga wa kienyeji 170 maarufu kwa jina la lambalamba wakiwamo wanawake 37 wanaotuhumiwa kujishirikisha…

Soma Zaidi »

Kijana auawa kwa bomu kilabuni

MKULIMA mkazi wa kijiji cha Basanza wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kulipuliwa na bomu la kurusha…

Soma Zaidi »

Mvua zaacha maumivu Katavi

MVUA iliyo ambatana na upepo mkali imeharibu nyumba 31 katika kijiji cha Tukoma, Kata ya Itenka halmashauri ya Nsimbo mkoani…

Soma Zaidi »

Makamu wa Rais atoa maagizo kudumisha utamaduni

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa watanzania wote hususan wasanii wa kizazi kipya, kuepuka kuiga kila tamaduni…

Soma Zaidi »

Wafukua kaburi, wanyofoa titi, moyo, jicho na ulimi

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawatafuta watu waliofukua kaburi na kuchukua viungo vya marehemu likiwemo titi, moyo, jicho na…

Soma Zaidi »

Majaliwa: ‘Nilikuwa nakusanya pesa nikasome udereva’

MAJALIWA ni jina linalovuma ndani na hata nje ya nchi baada ya kuwa ‘raia wa kwanza’ aliyeshuhudia na kushiriki kikamilifu…

Soma Zaidi »
Back to top button