Utalii

Taji AGT kileleni ‘Paa la Afrika’

MOSHI, Kilimanjaro: WASHINDI wa Dunia wa Mashindano ya kusaka vipaji ya nchini Marekani ‘American Got Talent Fantasy League’ (AGT) ambao…

Soma Zaidi »

Ngorongoro kuwania Tuzo Kivutio Bora

ARUSHA; Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeteuliwa kuwania Tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Duniani mwaka 2024. Kaimu Kamishina…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva Great Ruaha Marathon

IRINGA; Kwa kadri shauku inavyoongezeka, msisimko unavyozidi na tarehe inavyokaribia, maandalizi ya mbio za mwendo pole na haraka za Great…

Soma Zaidi »

Tamasha la utalii wa kiutamaduni laiva Bariadi

SIMIYU: Mkuu wa Wilaya ya Bariadi,  Simon Simalenga ameipongeza kampuni ya Kilimanjaro one Travel and Tours kwa kuunga mkono kwa…

Soma Zaidi »

DK Mwinyi: Wananchi changamkieni fursa katika utalii

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuchangamkia fursa mbalimbali za…

Soma Zaidi »

Askari wa misitu wasio na maadili kukiona

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amewataka viongozi wa wakala wa huduma za misitu Tanzania kuchukua hatua stahiki kwa…

Soma Zaidi »

Meli tano zatia nanga Bandari ya Kilwa

LINDI: Mwaka 2024 umeanza kwa rekodi ya ufanisi wa hali ya juu katika kupokea watalii wanaotumia Bandari ya Kilwa ambapo…

Soma Zaidi »

Watalii 125 wameingia Tanzania jana

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeendelea kupokea watalii kutoka mataifa mbalimbali katika Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya…

Soma Zaidi »

Miundombinu mibovu hifadhi ya Serengeti kukarabatiwa

KAMISHNA wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Juma Kuji leo amekagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti…

Soma Zaidi »

Rais Samia ameleta mapinduzi kwenye sekta ya utalii

MOROGORO: KAMATI ya Kudumu ya Bunge , Ardhi , Maliasili na Utalii imeridhishwa na utekelezaji wa  kazi za miradi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button